Dar es Salaam: Samsung Electronics imezindua rasmi Galaxy S26 series nchini Tikiongozwa na Galaxy S26 Ultra. Bidhaa hii ...
Upendeleo wa kijinsia wa teknolojia ya Akili Mnemba AI katika tafsiri za Kiswahili umekuwa ukishuhudiwa kwa mudasasa na ...
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amekitembelea leo asubuhi kitovu cha teknolojia ya akili Mnemba nchini China, kilichopo ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
TAASISI ya Wanasayansi Wahandisi Wasio na Mipaka (SEWB) ya Korea Kusini imefadhili ujenzi wa mtambo wa kuzalisha gesi asilia ya kupikia ya bayogesi katika Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Monduli m ...
Katika Taasisi ya Ujuzi ya Maendeleo ya Kazi- UICD- iliyoko Mashariki mwa jiji la Nairobi,nchini Kenya vijana wanajifunza ubunifu mbalimbali kwa kutumia Teknolojia ya Akili mnemba yaani artificial ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...
Serikali imetenga zaidi ya Shilingi bilioni tano kufadhili wanafunzi wanaochaguliwa kusoma masuala ya Akili Unde, Sayansi na ...
Hiki ni kipindi kinachohusisha ripoti na mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu Teknolojia Mpya ya Kilimo cha Mpunga. Kama ...